Zingatia: Soma lebo ya chupa ya dawa kujua kiambata amilifu. Wakulima huvuna kiasi kidogo, kati ya gunia 3 – 5 kwa hekta. Kuzuia: Alizeti zimegawanyika katika aina kuu mbili ambazo ni aina fupi na aina ndefu kama nitakovyoelezea hapo chini; Aina hii ya alizeti huweza kukua hadi kufikia urefu wa mita 1.5 hadi 2.5 ikijumuisha mbegu za asili na zilizotumika kwa muda mrefu ambapo baadhi ya mbegu za aina hii ni kama vile Zebra, Black, Record, Kilimo, Serena, Black-lulu, white na Jupiter. Chimba mashimo ya kupandia yenye kina cha sm 3 hadi 5 katika nafasi iliyopendekezwa katika mpangilio wa mistari unaokupendeza. Kilimo cha Karanga ... Wadudu hawa hushambulia mazao mengine kama vile maharage, kunde. KilimoTanzania tumejikita kukupa Elimu pekee ya Kilimo kwa Gharama sawa na Bure, Ili tuweze kuwa na Taifa bora lenye wajisiriamali katika sekta ya kilimo na Ufugaji. Kwa kawaida aina hii ya alizeti huchukua siku 120 hadi 150 tangu zilipopandwa kuanza kuvunwa na uzalishaji wake ni hafifu ukilinganisha na mbegu za aina fupi. Asili ya zao hili ni nchini Marekani ambako lilienea katika maeneo ya Ulaya na baadae kusambaa sehemu nyingine za dunia ambapo kwa sasa Tanzania ni nchi ya pili Afrika kwa uzalishaji wa alizeti nyuma ya Afrika ya kusini. Njia za kitaalamu za kutambua ukaukaji wa mbegu uhusisha matumizi ya kipima unyevu ambacho kwa kawaida kinapotumika kupima unyevu wa mbegu za alizeti kwa mbegu zilizokauka vizuri kipimo huonyesha kiwango cha unyevu cha asilimia 8. (iii) Ugonjwa wa Rosette (Rosette virus disease) Tabia ya mizizi ya alizeti kukua kwenda chini hadi kufikia kina kirefu cha udongo imeipa sifa zao hili kutambulika kama zao mahususi kwa kilimo cha mzunguko wa mazao. Kwa sababu hiyo kuacha shamba likiwa na magugu katika kipindi hiki kunaweza kuchangia kupunguza mavuno kwa kiasi kikubwa vinginevyo unaweza pia kuongeza mavuno kwa kiasi kikubwa ukimudu shamba kutokuwa na magugu wakati wa kipindi hiki. Unaweza kupanda alizeti kwa kuweka mistari katika mpangilio wa mistari miwili miwili au mmoja mmoja. (iii) Kilimo cha alizeti kwa Mchavusho wa Nyuki. Cha msingi usiache udongo ukauke ila mwagia maji angalau asilimia hamsini ya unyevu wa udongo unapokuwa umepotea. Unaweza kwenda kufanya jaribio dogo la kupanda mbegu chache kujua uwezo wa mbegu kuota lakini pia kuloweka mbegu kwa muda wa masaa ishirini na nne kuongeza kasi ya uotaji. Hii itategemea matunzo ya shamba, aina ya mbegu iliyotumika na idadi ya mimea katika shamba kwa sababu mbegu za aina tofauti huwa na uwezo tofauti wa kuzaa na hivyo mavuno huwa tofauti. Kipindi hiki ndipo alizeti hukua taratibu na hivyo hazina uwezo wa kushindana na magugu kupata maji na virutubisho vingine wala kichaka chake hakina uwezo wa kufunika ardhi kuzuia ukuaji wa magugu. Pia Aphids hushambulia ufuta kwa kufyonza maji katika majani ya mimea hivyo kupelekea kukauka kwa majani ya mmea. Unashauriwa kutayarisha shamba lako mapema kwa kukatua ardhi na kulainisha vizuri. Nimepata maombi mengi sana kutoka kwa wasomaji wangu kuwa wanataka kujua kilimo cha maharage ya njano. Alizeti Pia ni zao kubwa la kibi- KUZUIA MAGUGU Alizeti kama ilivyo kwa mazao mengine huathiriwa sana na magugu hasa alizeti inapokuwa bado ndogo hivyo kuondoa magugu ni jambo la muhimu na lazima. Pooza mbegu za alizeti kwa kuziweka kivulini kwenye hewa kabla ya kuzihifadhi ili zisije kuoza mara baada ya kuifadhiwa. Ikiwa una kiasi kidogo cha matandazo kutosha kuwekwa shamba zima katika kina kinachopendekezwa weka matandazo hayo mara baada ya kufanya palizi ya kwanza. Unapokuwa na matandazo ya kutosha shamba zima kwa kina kinachopendekezwa ni vyema kuyaweka baada ya kuchimba mashimo kabla ya kupanda au mara baada ya kupanda ili kudhibiti magugu katika hatua za awali za ukuaji wa alizeti na endelea kuongeza matandazo kadili kina kinavyopungua kutokana na kuoza. Hivyo unashauriwa kupalilia mapema ili kupunguza Hii itakusaidia kupanga vizuri ratiba ya upandaji itakayokuwezesha kuvuna alizeti wakati mvua zikiwa zimekata. Unaweza kufanya palizi kwa kutumia mikono, jembe dogo la mkono au dawa za viuagugu zinazopatikana katika maduka ya pembejeo za kilimo. Zao la alizeti katika ukuaji wake huitaji maji hasa katika kipindi cha kutengeneza kichwa na kutoka kwa maua hadi kukomaa. Hii ni kutokana na ukweli kuwa, unapoza-lisha kwa gharama kubwa huku ukiwa hauna uhakika wa soko, au kuwepo wazalishaji wengine ambao wanamudu uzalishaji kwa mbegu ya bilfa 16 huwa na rangi nyekundu mchanganyiko na maziwa kama nguo ya jeshi, mbegu ni za ukubwa wa 1.2 â 1.5 . Inapendekezwa zao hili lilimwe katika mzunguko na mazao ya mahindi na mtama ili kukata mzunguko wa maisha ya vimelea vya magonjwa na wadudu wanaoshambulia zao la alizeti. Would love your thoughts, please comment. Kwa kawaida aina hii ya alizeti huchukua siku 120 hadi 150 tangu zilipopandwa kuanza kuvunw⦠Panda mbegu tatu za alizeti katika kila shimo, fukia kwa udongo mwepesi, shindilia na kisha mwagia maji. rutuba. Mashudu yanayotokana na alizeti baada ya kukamua mafuta ni chakula kizuri kwa kulishia mifugo kama vile ng’ombe wa maziwa, mbuzi, nguruwe, kuku au sungura kwa sababu yana kiasi kikubwa cha protini na mafuta na kiasi cha nyuzi nyuzi muhimu kwa mmeng’enyo wa chakula kwa wanyama. Pepeta na kupembua mbegu za alizeti ili kuondoa, mawe, mabaki ya vichwa, mbegu zilizooza au kupasuka pamoja na wadudu. Ndani yake huwa na mkusanyiko wa maua madogo madogo yanayokaa kwa pamoja kama duara juu ya kombe kubwa ambapo kichwa kimoja kina kadiliwa kuwa na maua madogo 800 hadi 3000 na kila ua dogo moja lina uwezo wa kutengeneza mbegu. Wakati wa kuweka mbolea angalia isigusane na mbegu au mche wa alizeti kwani huunguza. – Usipande alizeti karibu na msitu/pori Upandaji wa alizeti hutegemea sana hali ya hewa ya eneo husika. patrick bigambo. Fanya palizi wiki 2 hadi 3 tangu kuota na kurudia tena baada wiki 4 hadi 5 kutegemeana na hali ya magugu katika shamba. Nusu ya kwanza iwekwe wakati wa Kwa sababu hiyo basi ni vigumu kuepuka mapengo shambani ikiwa utapanda alizeti katika udongo wa kichanga hasa kwenye maeneo yenye joto kali. Shamba la alizeti liandaliwe mapema mwezi mmoja kabla ya kupanda ili kuruhusu magugu na mabaki ya mazao kuoza vizuri. Change ). Ua kubwa la alizeti hutambulika kwa jina moja kama “kichwa” ambalo ukubwa wake huanzia sm 15 hadi 30. Hii huchangiwa na tabia ya mizizi yake ambayo huweza kukua kwenda chini kwa kiwango kikubwa hadi kufikia maji katika kina kirefu cha udongo. Katika maeneo yaliyo na magugu machache, palizi moja tu inatosha. Kwa mfano kichwa chenye ukubwa wa sm 30 kinaweza kuzalisha gramu 19 hadi 20 za mbegu wakati kile chenye ukubwa wa sm 16 kinaweza kuzalisha hadi gramu 54. Mimea michanga ya alizeti huathiriwa sana na magugu hivyo hakikisha shamba lako halina magugu katika kipindi cha wiki sita za mwanzo tangu kupanda. ALIZETI-SUNFLOWER (Helianthus annus) UTANGULIZI Alizeti ni zao mojawapo kati ya mazao muhimu yanayotoa mbegu za mafuta. vikauke vizuri. Mmea huu ulianza kuzalishwa kama zao katika nchi ya Mexico na baadaye kusambaa katika nchi ⦠Zao hili hulimwa kwa ajili ya chakula na biashara. Katika kilimo mseto cha alizeti na mahindi baada ya kupanda usitumie dawa yenye kiambata amilifu cha atrazine ambacho kimekuwa kikitumika kwa palizi katika mfumo wa zao moja la mahindi vinginevyo unaweza kudhuru zao la alizeti ambalo lina tabia ya kuathiriwa na viambata amilifu vya kundi la Triazine (Triazine sensitive crop). Mbuzi wa nyama pia ni njia moja wapo ya mfugaji kujion-gezea kipato kwa kuwa soko la nyama ya mbuzi ni bayana. iliyokomaa kichwa hubadilika rangi toka kijani kibichi na kuwa njano. Mara nyingi nafasi ya sm 75 kati ya mistari na sm 30 kati ya shimo na shimo imekuwa ikitumiwa na wakulima wengi nchini hata hivyo jambo la muhimu ni kuzingatia maelekezo ya mbegu husika juu ya nafasi ya kupandia inayopendekezwa. Kuwaua blister beetle kwa kutumia mitego na/au kuwakamata na kuwaharibu. Kama unataka kufanya kilimo, ufugaji wanyama, ufugaji wa samaki, ufugaji wa nyuki, kilimo cha miti ya mbao, kilimo cha majani na malisho ya mifugo, utaalamu wa mbolea na udongo katika mazingira halisi ya ki Tanzania basi wasiliana nami ([email protected]) NB sihusiki na habari za masoko ya bidhaa yoyote ya kilimo ⦠Panda mbegu 3 – 4 katika kila shimo moja kwa nafasi ya sentimita 75 kutoka mstari hadi mstari na sentimita Hata hivyo, ukuzaji wake ni wa kiwango cha chini kwa sababu ya kutumia mbegu duni, utunzaji mbaya wa mimea na kuliwa na ndege. Vile-vile unaweza kuweka mbolea ya samadi au mboji kwa kusambaza shamba zima wiki mbili hadi tatu kabla ya kupanda ambapo kiasi cha tani 3 za samadi au mboji hutosha kwa eneo la ekari moja. Vilevile mashamba tofauti yaliyopandwa mbegu ya aina moja na kupata matunzo ya viwango tofauti huwa na viwango tofauti vya mavuno. Kilimo cha Alizeti ndani ya JATU PLC kinalimwa kwa wingi wilayani Kiteto mkoa wa Manyara Machungwa ni tunda ambalo ni lina faida nyingi ndani ya mwili wa binadamu ikiwemo; Kusaidia kuondoa tatizo la shinikizo la damu, vitamin B6 na madini ya chuma. – Choma masalia ya msimu uliopita. Hakuna vyema kwenye arthi iliyo na rutuba ndogo wenye ukame mzuri na matandazo ya kutosha katika kilimo cha bidhaa mbegu hupandwa kwa umbali was m 45 na kinaacha 2.5. mbegu yam mea huu, alizeti, huliwa kama chakula cha kutafuna baada ya kuokwa/ kukaushwa, pamoja au bila ya chumvi. moja ya mbolea ya kukuzia kwa kuigawa mbolea hiyo mara mbili. Kumbuka umepanda mbegu tatu katika kila shimo hivyo baada ya miche kuota na kufikia kimo cha sm 10 hadi 20 ng’oa miche miwili katika kila shimo na kuacha mmea mmoja wenye afya. Kwa sababu hiyo chagua mbegu nzuri ya kisasa kisha soma lebo au muulize anayekuuzia kujua expiry date na uwezo wa mbegu kuota kwa sababu mimea ya alizeti inayotokana na mbegu zilizo kaa muda mrefu huwa na kasi ndogo ya ukuaji na uwezo mdogo wa kuhimili magonjwa. Kwa kilimo cha umwagiliaji unaweza kumwagilia shamba la alizeti kila baada siku mbili hadi tatu kutegemeana na hali ya hewa, udongo na njia ya umwagiliaji unayoitumia hadi vichwa vitakapokomaa. Baada ya kukausha pura vichwa vya alizeti kwa kupiga taratibu na fimbo katika kichanja, mkeka au turubai ili kutenganisha vichwa na mbegu. Zao hili hulimwa kwa ajili ya chakula na biashara. Ukiacha mfumo wa kilimo cha zao moja shambani kitaalamu mono cropping tutakao uzungumzia kwa kina katika mada hii kuna aina nyingine tofauti za mifumo ambayo inaweza kutumika katika kilimo cha alizeti. Wakati wa kupanda tumia nusu mfuko kwa ekari moja ya mbolea ya kupandia na mfuko mmoja kwa ekari mwezi Februari. peter maridadi. KILIMO BORA CHA NYANYA KILIMO BORA CHA NYANYA : Nyanya ni zao la mboga ambalo hulimwa sehemu nyingi duniani kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na pia kama zao la biashara. Vilevile ni muhimu pia kuongeza mbolea yenye kirutubisho cha Boron ambacho upungufu wake umeonyesha kuathiri sana uzalishaji wa alizeti. Reason: Service ⦠Kwa utaratibu wa mstari mmoja mmoja unachotakiwa kufanya ni kuzingatia tu nafasi iliyopendekezwa kwa mbegu husika. JATU PUBLIC LIMITED COMPANY |âJenga Afya Tokomeza Umasikiniâ 2 C. KILIMO CHA MBADILISHANO WA MAZAO AINA YA MIKUNDE ... alizeti yakatwe na kulazwa juu ya udongo ili kuzuia Matone ya mvua na jua kupiga ardhini moja kwa moja. Njia hizo ni kama vile umwagiliaji wa njia ya matone (drip irrigation), wa njia ya mifereji na umwagiliaji wa kutumia, Kama utaamua kutumia madawa ya viuagugu inafaa sana kutumia dawa za kuua magugu baada ya kupanda kabla ya kuota ili kuwezesha shamba kutokua na magugu ndani ya wiki sita za kwanza za hatari ambazo kitaalamu hutambulika kama, Katika kilimo mseto cha alizeti na mahindi baada ya kupanda usitumie dawa yenye kiambata amilifu cha, Soma hapa kilimo cha kisasa cha pilipili manga, Fahamu mambo mawili kabla hujaanza kilimo biashara, Fahamu kilimo cha kisasa cha vitunguu maji, The Role of Agro-Ecological Zones in Agriculture. Kwa matokeo mazuri katika udhibiti wa magugu weka matandazo kwa kuyatandaza katika udongo katika kina cha sm 10 mpaka 15 maeneo yote kuzunguka mashimo ya mimea. Pannar Seed Tanzania Ltd ni kampuni tanzu ya kampuni ya kimataifa Maeneo yenye mvua nyingi alizeti huanza kupandwa mwishoni mwa mwezi Januari mpaka katikati ya Mwenendo wa mvua Msimu wa Kilimo 2016/2017 Na Mwezi Kituo cha Bomani Kituo cha Lupatingatinga Kituo cha Sangambi Idadi ya siku Kiasi (mm) Idadi ya siku Kiasi (mm) Idadi ya siku Kiasi (mm) 1 Oktoba, 2016 0 0 0 0 0 0 2 Novemba, 2016 1 30.85 6 33.4 2 3.16 3 Desemba, 2016 11 170.38 21 158.5 11 98.94 mavuno mengi na bora, mkulima anashauriwa kuzingatia mambo yafuatayo:-, HALI YA HEWA NA UDONGO chama cha wafanya biashara ya mbegu (Tanzania Seed Trade Association) TASTA. Unaweza kufuata hatua zifuatazo katika upanzi wa mbegu za alizeti shambani; Matunzo ya shamba ni muhimu sana kwa sababu huamua kiasi cha mavuno unayoweza kupata kutoka shambani. Kuchelewesha uvunaji zaidi ya kipindi kinachopendekezwa kunaweza kupelekea hasara zinazoweza kujitokeza kutokana na ndege, kukwama kwa mbegu au kupukutika kwa kichwa kufuatia ukaukaji uliopitiliza. "TANZANIA NA KILIMO" NI MTANDAO WA KILIMO UNAONGOZA TANZANIA, IMETEMBELEWA NA ZAIDI YA WATAZAMAJI MILLIONI 2 NA WASTANI YA KUTAZAMWA NA ⦠READ PAPER. Kilimo Cha Machungwa Topic 2 Tathmini ya mapato ya kilimo cha michungwa 1000. na mbegu hii hukoma baada ya siku 80 â 84 tangu kupandwa kwa hiyo hufaa kwenye maeneo yenye mvua za muda kuvuna na kutayarisha mbegu vuna. Mbinu hii pia hutumiwa na wafugaji wa nyuki walio wengi katika nchi zilizoendelea ili kuongeza uzalishaji wa asali kwani kutokana na maua ya alizeti asali nyingi na nzuri hutengenezwa katika mizinga ya nyuki. KUANDAA SHAMBA. Zao la alizeti hustawi vizuri katika udongo wa aina tofauti tofauti wenye rutuba, kina, uwezo wa kuifadhi maji vizuri na usiotuamisha maji. kuchanganywa vizuri na udongo wakati wa kuandaa shamba. Kuandaa shamba 70,000 2. Akizungumzia kilimo hicho cha alizeti kwa wakulima wa Mwanza, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa huo, Mhandisi Evarist Ndikilo, amesema: âAsilimia kubwa ya ardhi ya mkoa huu inakubali kilimo cha alizeti. – Panda mbegu safi zilizothibitishwa na wataalamu Tanzania imebahatika kuwa ardhi ya kutosha yenye rutuba inayofaa kwa kuzalisha mazao ya aina mbalimbali kulingana na hali ya kanda za kiekolojia takribani saba (7) zilizotawanyika nchi nzima. KILIMO BORA CHA MAHARAGE : Maharage ni zao jamii ya mikunde ambalo hulimwa kwa ajili ya kuliwa kama mboga au futari. Weka viganja viwili vya mkono vya samadi iliyoiva katika shimo la kupandia kisha changanya na udongo kupata mchanganyiko mzuri. Alizeti hutambulika kitaalamu kama Helianthus Annus na hulimwa kwa wingi karibu maeneo yote nchini Tanzania katika nyanda za kaskazini, kati, mashariki pamoja na nyanda za juu kusini hasa katika mikoa ya Shinyanga, Singida, Dodoma, Iringa, Tabora, Morogoro, Ruvuma, Mbeya, Arusha, Manyara na Rukwa. Fuata ushauri wa wataalamu walio katika eneo lako na maelezo ya dawa kama yalivyo kwenye lebo ya chupa. Inahisiwa kuwa asili ya nyanya ni nchi ya Peru/Equador huko Amerika ya Kusini. Soko la ufuta kwa kiwango kikubwa kinauzwa nje ya nchi, matumizi ya ndani ni machache sana. kushambuliwa na virusi. Kwa kilimo cha kutegemea mvua anza kutayarisha shamba katikati mwa mwezi Februari ili kuweza kupanda kati ya mwezi Machi na April wakati wa mvua za masika. 2..FUNZA WA VITUMBA (American bollworm) Kwa mfano mchanganuo ufuatao unaonyesha faida ya kilimo cha ufuta kwa maeneo ya Mbeya hususani ⦠Badala yake unaweza kutumia dawa zenye kiambata amilifu cha Pendimethalin ambacho huweza kutumika katika palizi kwa mazao yote mawili bila kuathiri mimea. Kipindi hiki mbegu za alizeti huwa zimejaa vizuri zikiwa na kiwango cha unyevu kinachokadiliwa kuwa asilimia 30 hadi 35. Kilimo cha maharage 1.5 â 1.8 . Kilimo cha mazao ya biashara yenye thamani kubwa ili kuongeza pato katika kaya. TAARIFA YA MKUTANO MKUU WA MWAKA (2020) WA JATU PLC Pakua hapa..! KILIMO CHA KAROTI â JUKWAA LA KILIMO. Kilimo cha Mihogo Cassava Kilimo Tanzania. Mbolea zinazofaa kwa kilimo cha alizeti ni zile za kupandia na kukuzia hasa kwenye maeneo yasiyo na weka comment yako hapa chini. Mifumo hiyo ni kama vile kilimo mseto, kilimo cha mzunguko wa mazao na kilimo cha alizeti kwa mchavusho wa nyuki. Alizeti hulimwa kwa wingi katika mikoa ya Shinyanga, Singida, Dodoma, Iringa, Tabora, Morogoro, Ruvuma, Mbeya, Arusha, Manyara, na Rukwa. Kwa sababu hiyo mafuta yanayotokana na alizeti yamekuwa na soko zuri na hivyo biashara yake ni njia nzuri ya kumwongezea mkulima na mfanyabiashara kipato. Vitabu Vya Kilimo na Ufugaji pia vinapatikana Kwe Ukurasa Huu, Karibu uweze Kujiunga na Channel Yetu ya Telegram uwe wa Kwanza kupata ,Taarifa moya za kuhusu Kilimo mara zinapowekwa kwenye Tovuti Yetu. MWONGOZO WA KILIMO CHA MAPAPAI. Kule Kwimba, Sengerema na kwingineko, watafiti wamebaini kwamba ardhi yake inafaa sana kwa kilimo cha alizeti. hasara. Kiasi cha kilo hamsini za mbolea ya DAP kinatosha kutumika katika eneo la ekari moja. Wakulima wengi humiliki mashamba madogo madogo (ekari 1 hadi 3) na huwa na mtindo wa kupanda mmea kwa pamoja na mahindi kwa matumizi ya nyumbani na alizeti kwa mauzo. Vilevile mbegu kavu zinapomiminwa katika vyombo kama vile debe hutoa mlio mkali. Katika eneo la ekari moja unaweza kutumia mfuko mmoja wa kilo 50 za Urea au mifuko miwili kwa mbolea ya CAN. Usiruhusu udongo wa shambani kukauka kabisa katika kipindi hiki cha ukuaji wa alizeti. Habari njema kuhusu zao la alizeti ni kwamba lina uwezo wa kustawi na kufanya vizuri katika maeneo mengi yenye hali ya hewa tofauti hata katika maeneo yenye hali ya ukame. HTTP ERROR 503 Problem accessing /api/processFulltextDocument. 35– 45 na mashudu yake ni chakula cha mifugo. KILIMO BORA CHA UFUTA : Ufuta (sesamum indicum)ni zao linalolimwa kwa wingi katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma, Pwani, Morogoro, Dodoma, Tanga na ukanda wa chini katika mikoa ya Rukwa na Mbeya. Baadhi ya mbegu katika kundi hili zinazopatikana Tanzania ni kama vile, NSFH 36, NSFH 145, AGUARA 4 na HYSUN 33. Wafugaji walio wengi wanaweza wasijue umuhimu na ubora wa alizeti kama malisho kwa ajili ya Weka mitego ya limbwata (pheromone traps) na pulizia dawa za asili. KILIMO BIASHARA NA UJASIRIAMALI Philipo F. Mrutu Philipo F. Mrutu E-mail: [email protected] SIMU: +255 753 442 903/ 0629159492 Hakuna sehemu yoyote ya kitabu hiki ambayo inaruhusiwa kutolewa upya au kuhamishwa kielektroniki au ufundi wowote wa kurekodi au kufungua na kutoa nakala upya na kurudishia tena bila ruhusa ya maandishi ⦠Kwa kawaida hatua hii huonekana wiki tano mpaka sita tangu kutoka kwa maua. Download. Kisha fungasha katika magunia na kusafirisha hadi nyumbani kwa ajili ya kukausha. Chakula cha kuku 4&5 Kilimo cha Shayiri 6 Uzalishaji kwa njia sahihi na kwa gharama nafuu, ni moja ya mambo ambayo yamekuwa yakiwaumiza kichwa wakulima na wafugaji kwa muda mrefu sana. Ukiacha mfumo wa kilimo cha zao moja shambani kitaalamu, Jinsi ya kuandaa na kutunza kitalu cha miche ya mbogamboga, Ni vyema kutumia mbegu zilizoboreshwa na kupendekezwa na wataalamu kutoka kwa wauzaji wanaotambulika kisheria ili kupata mavuno mazuri kwa kuwa nyingi huwa na tabia ya kuvumilia ukame, magonjwa na wadudu, kuzalisha mbegu nyingi na kutoa mafuta mengi. Shamba la alizeti kutegemeana aina ya mbegu huweza kutoa mavuno wastani wa magunia 8 hadi 16 kwa ekari. Unashauriwa kuvuna alizeti mara tu inapokomaa ili kupunguza hasara ya kushambuliwa na ndege. Ni eneola milimamilimayenyerotuba. Urefu wa mizizi yake unaweza kufikia mita 1 hadi 2 kwenda chini ambapo hukoma kukua baada ya kutoka kwa ua. Kuna njia tofauti za umwagiliaji ambazo unaweza kutumia katika umwagiliaji wa zao la alizeti shambani. Andaa vifaa na vyombo vya kuvunia kama vile kisu, ndoo, makapu na magunia. Pia majani yake huliwa kama chakula cha mifugo na binadamu pia. Shimo la mbegu liwe na kina cha sentimita 2.5 – 5. Hii ni kutokana na uwezo wake wa kufikia maji na virutubisho ambavyo haviwezi kufikiwa na zao lolote lile litakalopandwa katika mzunguko na zao la alizeti. Weka kiwango cha nusu kizibo cha soda kwa Urea na kizibo kimoja cha soda kwa mbolea ya CAN kuzunguka shina sm 5 kutoka shina lilipo. Unapotumia upanzi wa mistari miwili miwili inashauriwa kupanda alizeti katika mistari miwili kwa kuzingatia nafasi inayopendekezwa kisha acha nafasi ya sm 90 hadi mita 1 kabla ya kupanda mistari miwili mingine. Mafuta yanayotokana na alizeti pia yanaweza kutumika katika utengenezaji wa sabuni, rangi na vipodozi mbalimbali. MIRADI KWANZA PAPAI Faidika na kilimo rahisi cha. Kukua vizuri mmea wa alizeti unahitaji jua la kutosha. Mbegu za alizeti huanza kutengenezwa katika kichwa kuanzia siku 10 hadi 15 tangu kutoka kwa maua. kilimo bora ikiwemo ya baadhi kulimwa nje ya mfumo wa kiekolojia ya mazao hayo. Kitu kingine cha muhimu unachotakiwa kukifahamu mapema kuhusu mbegu unayotaka kutumia ni muda ambao huchukua kukaa shambani hadi kukomaa. Tumia kilimo mchanganyiko cha mtama/mahindi. Download Full PDF Package. agm-kiswahiliDownload TANGAZO LA NAFASI YA KAZI ajira-2021Download MUHTASARI WA MREJESHO WA UTAFITI WA JATU KATIKA UWEKEZAJI WA ZAO LA MACHUNGWA Mwanzoni kwa mwezi October mwaka 2019 uongozi wa Jatu ulianza utafiti wa kilimo cha ⦠Hutoa mafuta kati ya asilimia Matandazo husaidia kudhibiti magugu, kuifadhi unyevu na kuongeza rutuba katika udongo. 30 kutoka shimo hadi shimo au sentimeta 75 kwa 40 au Sentimeta 90 kwa 30 kwa mbegu kubwa. Anza kuvuna alizeti pale ambapo asilimia 80 ya vichwa vya alizeti katika shamba vinapokuwa na rangi ya kahawia. Hutoa mafuta kati ya asilimia 35â 45 na mashudu yake ni chakula cha mifugo. Karibuni kwenye blog yangu ambayo najaribu kutoa elimu kidogo niliyo nayo. Wakati wa kuvuna kata mashina sm 10 chini ya vichwa vya alizeti kwa kutumia kisu na kuviweka katika makapu ya kuvunia. Alizeti hushambuliwa na magonjwa yakiwemo madoa ya majani, kutu, kuoza kwa mizizi, shina, kichwa na Ni vyema kutumia mbegu zilizoboreshwa na kupendekezwa na wataalamu kutoka kwa wauzaji wanaotambulika kisheria ili kupata mavuno mazuri kwa kuwa nyingi huwa na tabia ya kuvumilia ukame, magonjwa na wadudu, kuzalisha mbegu nyingi na kutoa mafuta mengi. Kuzuia: Weka mbolea ya kukuzia aina ya CAN au Urea mimea inapokuwa katika kimo cha usawa wa magoti sm 40 hadi 60 baada ya kufanya palizi ya kwanza. Mmea wa alizeti una mizizi mirefu yenye urefu sawa au zaidi ya urefu wa shina kwenda juu. Kata vichwa na kuvianika juani ili Alizeti huvumilia ukame na hulimwa kwa ajili ya biashara – Tumia dawa yo yote ya kuulia wadudu inayopatikana katika eneo lako. Vile-vile unaweza kuanza maandalizi katikati mwa mwezi Agosti ili kuweza kupanda mwishoni mwa Septemba au mwanzoni mwa mwezi Oktoba wakati wa mvua za vuli. KANUNI NA ULIMAJI WA KILIMO BORA CHA ZAO LA MAHINDI. Upepetaji na upembuzi unaweza kufanywa kwa kutumia ungo au mashine za kupembulia. Mbegu za zao hili huwa na wastani wa mafuta kiasi cha asilimia 45. Alizeti huwa zimekomaa baada ya maua petali ya njano kuzunguka kichwa cha alizeti kunyauka na kupukutika pindi sehemu ya nyuma na pembeni ya kichwa inapokuwa imebadilika rangi na kuwa ya njano hadi kahawia. Njia hizo ni kama vile umwagiliaji wa njia ya matone (drip irrigation), wa njia ya mifereji na umwagiliaji wa kutumia cane. Soma kwa umakini itakuchukua dakika chini ya Kumi...... Mwana Blogger mahiri,aliyehama fani yake kutoka kwenye urembo na mitindo hadi kwenye uwanda wa kilimo ,na kuitumia sekta hii ya kilimo kwa kutoa taarifa zilizo sheheni mambo tele ~ na kushare kwa Watanzania,katika ulimwengu huu wa Teknolojia, Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji kama mradi rahisi zaidi ya unavyofikria, Ufugaji wa Samaki Kisasa : Utaaamu na Masoko, Kilimo Bora cha Nyanya-Maandalizi Ya Mbegu, Shamba Na Upandaji Wa Miche. na matumizi ya nyumbani. Alizeti huvumilia ukame na hulimwa kwa ajili ya biashara na matumizi ya nyumbani. Matandazo ya asili kama vile mabua ya nafaka, pumba za mpunga, maganda ya karanga na maranda ya mbao yanaweza kutumika kwa kazi hii.